sisi kwetu Usukumani, mwanamme akinogewa sana na kale kamchezo akikaribia ejaculation analia kwa sauti kisha anamalizia na 'wabeja sana' yaani asante sana. Kaaazi kweli kweli! Siku hizi tumeacha hiyo kitu.
Na kwa walioko kwenye ndoa, mbona asante itakinai sasa! Kwa bf na gf friend inaweza leta maana fulani, lakini kwa wanandoa napata kigugumizi kidogo ........
Kushukuru hasa baada ya tendo la ndoa ni jambo jema haijalishi iwe mwanamke au mwanamme wote mnapaswa kumshukuru mwenza wako kwa kazi nzuri na mapenzi moto moto aliyokuonyesha siku hiyo. Kwa kufanya hivyo kutamtia moyo mpenzi ujasiri mpenzi wako na moyo wa kukupa mapenzi moto moto zaidi ya aliyokupa mara ya mwisho.