Swali la uzushi, nani anatakiwa kusema asante?

mie kikinoga nasema asante hata kabla cjamaliza kwi kwi kwiiiii
 
Asante wakati kakuboa kishenzi! Anaye ridhishwa anatakiwa atoe asante.
 
Niache kuwaza ng'ombe wangu wameishiwa majani , niwaze asante?

kongosho unashangaza kwani ng'ombe akishiba majani na wewe hamu ya tendo la ndoa inakuwa imeisha? kila kitu kina mahali pake mapenzi ni mapenzi na ng'ombe anamahali pake kama wa maana sana mbona unalala na mkeo/mumeo kitanda kimoja lakini ngombe unamuweka nje banda la mbaaali na chumba ulalacho?
 
Kama shughuli imewafurahisha wote hamna budi kuambizana pole na asante kwa mechi nzuri..
 
nijuavyo mimi asante ni neno la kiungwana kuonyesha kuridhika na kushukuru so mnapaswa kupeana asana nyote kwani tendo lile halikufanywa na mtu mmooja
 
Aliye enjoy sana hadi anagugumia au hata 'kulia' ndio anayepaswa kusema hasante!
 
kweli ni asante ya ukweli au unafiki? maana kazi kama imetendeka kisawasawa ni uchovu na jasho lisiloelezeka
 
Hakuna formular ukiwa umekunwa vya kutosha lo neno hutoka kama chafya tuu!
Ni sawa na ndelemo za furaha azitoazo mkunwaji wakati wa tukio humtoka tuu sio kwa kupenda ila ile RAHA aipatayo
 
mi ahsante zangu napata katikati ya mechi, cjui kwa nini.
 
Mwanaume hawezi sema asante, mwanamke coz hufaidi 75% ya game kuliko mwanaume, so mwanamke ndo anatakiwa kutoa shukrani.
 
kama mwenzangu anafaidi robo tatu ya raha atoe asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…