Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
Theory hiyo siyo Practical.SWALI:Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
daaaa swali lako linajibu ndani yake...! angalia hapo nilipobold...!
Hapooo hapo....tuseme ukweli jinsia ya pili bila pesa huna heshima kwao.....kuwa na heshima basi kamatia mapene uone utaitwa majina yoote mazuri.....Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "
no love at zero cost.
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "By "UTENDAJI" :
Mzee uwe na uwezo wa kukung'uta mpaka chumba KINAFUKA MOSHI.
Ukienda WC unashindwa kuurinate kwa sekunde kadhaa.
By PESA:
Halafu kule kabatini kuna WEKUNDU WA KUTOSHA.Wakwe na mashemeji wakifika wewe mzee unarekebisha tu.
Waachaaa...UTAPENDWA WEWE....MPAKA....
Je,unaishi HUO ULIMWENGU TUNAOZUNGUMZIA.Mimi siamini kabisa katika hilo, mbona kuna watu jogoo halipandi mtungi na wanapendwa kufa kuliko ww na mguu wako wa tatu???
Theory hiyo siyo Practical.
PESA NI MSINGI.
Achana na theories za kufikirika.
Ili uwe na relationship ambayo ni healthy,vitu viwili ni muhimu sana.Vinaenda pamoja, navyo ni PESA NA " UTENDAJI "
By "UTENDAJI" :
Mzee uwe na uwezo wa kukung'uta mpaka chumba KINAFUKA MOSHI.
Ukienda WC unashindwa kuurinate kwa sekunde kadhaa.
By PESA:
Halafu kule kabatini kuna WEKUNDU WA KUTOSHA.Wakwe na mashemeji wakifika wewe mzee unarekebisha tu.
Waachaaa...UTAPENDWA WEWE....MPAKA....
Na kuna wanaume wanapenda sana wanawake wenye pesa, wakati sio kitu cha msingi. Utamsikia mie nakupenda kwasababu huna gharama. Kwanini usinipende na mie hivyo hivyo ata kama nitakuwa na gharama.
Mimi siamini kabisa katika hilo, mbona kuna watu jogoo halipandi mtungi na wanapendwa kufa kuliko ww na mguu wako wa tatu???
na mwana mama anaweza mpenda mwanamume mwenye gharama? akifanya hivyo basi wanamama wenzake watamshangaa na wanamume watamshangaa mwanamume mwenzao