johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Thubutu!Msimu huu Liverpool inavunja rikodi, inatwaa kombe la ubingwa England kwa jumla ya pointi 110..
YNWA..
Sio vyema kuleta utabiri wa kichawi mapema. Tusubiri kipenga na ahadi ya uhuru aliyoitoa mkuu wa kaya iwepo halafu ndo tuone. Nnani atakodi malori na Nnani watatembea km 50 kwa miguu kwenda kumsikiliza. October is jus near. Siku hazigandi
Unazungumzia CCM ya Kinana au hii Mpya bwashee?!Ccm bila kubebwa hawawezi jaza hata kijiji.chama kinalindwa Na mapolis...
Umehakikishiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki acha kulialia kama Kigwangala!Yeye ndio kinara wa kunajisi uchaguzi hapa nchini. Hakuna mtu anayejitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi bila tume huru vya uchaguzi fullstop.
Mungu naomba unijalie ubongo wangu usije ingiliwa na funza nikawa mtumwa wa ujinga, upumbavu, upompoma na ufukara wa fikra. I pray this to you ooh God!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehakikishiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki acha kulialia kama Kigwangala!