Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hujasikia kila bendera za CHADEMA zikipandishwa DC anaamuru ziteremshwe? Kama unajidanganya kuwa CCM inapendwa kivile unajidanganya. Bila msaada was dola CCM ni wepesi kuliko karatasi!
CCM ni Ileile na Utawala nao Sasa hivi ndiyo wa Kupuuza na Kuonea Watu.Unazungumzia CCM ya Kinana au hii Mpya bwashee?!
Umehakikishiwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki acha kulialia kama Kigwangala!
You must be kiddingNajiuliza tu kwa sababu kwa sasa wananchi wengi wameshavisahau vyama vya upinzani ukiondoa kule Zanzibar, Mbeya mjini, Iringa mjini na Tarime.
Ndio najiuliza mikutano itakapofunguliwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu vyama vya upinzani vitapata watu au watalazimika kuwabeba kwa malori kama wafanyavyo Cuf na Chadema.
Nipo hapa Ludewa ambako Masanja Mkandamizaji atagombea ubunge kupitia CCM, kiukweli sijaona hata bendera moja ya Chadema ikipepea wilaya nzima.
Maendeleo hayana vyama!
Haya pingeni wala msichukue fomu ili ccm ipite bila kupingwa. FullstopYeye ndio kinara wa kunajisi uchaguzi hapa nchini. Hakuna mtu anayejitambua atashiriki uchaguzi wa kishenzi bila tume huru vya uchaguzi fullstop.
Haya pingeni wala msichukue fomu ili ccm ipite bila kupingwa. Fullstop
Mkigoma kujiandikisha na pia kuchukua fomu, au mkifanya madudu kwenye ujazaji mnataka kubebwa tu?? Kama kiongozi hajui hata kuijaza fomu, wa nini kumchagua?Kimsingi ccm haiwezi ushindani, njia pekee wanayotegemea kupata ushindi ni huo ushindi wa mezani.
Mkigoma kujiandikisha na pia kuchukua fomu, au mkifanya madudu kwenye ujazaji mnataka kubebwa tu?? Kama kiongozi hajui hata kuijaza fomu, wa nini kumchagua?