Swali lake nimelishindwa

Najaribu kuimajini:

Nna rafiki wangu wa kike
Anakuja kuniambia boifrendi wake anamsifia kitumbua chake ni kitamu
Afu ananiuliza tofauti ya vitumbua
Hayo mazungumzo yalifanyikia wapi?

Kama huyo rafiki yako wa kike kaja kukuambia maneno hayo afu usikionje kitumbua chake......Kuna tatizo hapo!
Mkipewa si lazima muambiwe "chukua"
Sawa vijana?
 
Mkuu Senetor, niPM # zake, nataka kufanyia research hili Suala.. Si unajua nataka niwe daktari bingwa wa kina mama..!
 
senetor inaonekana wewe ni shosti.. Huwezi ukakaa na mwanamke afu aanze kukupa story jinsi anavyopigwaga Miti na mtu wake.
 

hahahahahaha Babu ODM
vijana wa siku hizi bana sasa ndio stori gani hizo
ooohh kitumbua changu kitamu mara muwa wake mtamu
khaaaa wanakuwa wameanzia wapi

 
Mkuu Senetor, niPM # zake, nataka kufanyia research hili Suala.. Si unajua nataka niwe daktari bingwa wa kina mama..!
we sema unataka kitumbua tu ila research upande huo inalipa maana study sample yake ina wigo mkubwa, maana kwa phD lazima uwe na sampling ya 200 vitumbuazi
 
Vitumbua vinautamu tofauti mkuu, wengine wanaweka sukari wengine wachanganya na chumvi... lakini vitumbua vipo tofauti
 

Ni kweli vina ubora tofauti. Na huhitaji festi klasi ya UDSM kulijua hilo.
 
Kweli kabisaaaaaaaaa
inawezekana kikawa cha mayai,
lakini kikawa kimeungua.
Umeona eee
Inatakiwa balansi nzuri
Maji, mafuta, sukari, mayai
na moto wa kuchomea
 
kiwe na harufu original ya kitumbua(siyo ile ya uchafu mind you),ute kwa mbali na kiwe kimeumuka...kilichonyolewa vizuri kinaongezewa point
 
halafu mwana,huyo mtoto anakutaka haiwezekani out of nowhere aanze kukueleza mazungumzo yao ya faragha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…