Swali langu kwenu waendesha private car kwenda Mikoani

Wakati napand Dar to Moshi trip kwa private car nilitaka ingia chaka round about ya Korogwe pale...Nikauliza Mmasai mmoja akanipa dira! Ilikuwa night kali sana.
 
Wakati napand Dar to Moshi trip kwa private car nilitaka ingia chaka round about ya Korogwe pale...Nikauliza Mmasai mmoja akanipa dira! Ilikuwa night kali sana.
Hehe kweli pale panachanganya unaeza kwenda handeni bure
 
Subiri ukiwa mkubwa utajua.
 
Sijui kwa nini jf inakuwa sio sehemu tena ya kupata nondo za maana . Mtu kauliza kwa mtizamo wake na hisia zake kabisa lakini ukisoma majibu mengi ni utoto , ujuaji, masikhara mengi, kejeli ...🀬🀬
 
Vibao vya kuonyesha njia vipo kwenye kila makutano au round about au kwenye junctions...unaweza pia kutumia Google map
Google map ya kijinga sana, iliwahi tuingiza sehemu ya ajabu huko itigi, kama sio 4W tungekesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…