Nashukuru umenisemea mawazo yangu, miezi 6 ya kuachana afu anaitwa room anaenda?...khaaa huyo kuna kitu anakihitaji kabisa...hiyo kulia ni njia ya kumfanya S alainike ili amwingize kwenye mstari.....Mmh haya bwana wewe na yeye ndo wasemaji wa mwisho, hv mchuniane kwa 6 months thn umuite geto aje kirahs tu mkuu, may be she want somethng frm you....
Wajinga ndo waliwao! Sasa hapo unaona anakupenda mwenyewe?alipokuacha alienda kwa kidume kikamega weeeeeee kimechoka kikamtosa! Sasa naona anataka kurudi kwa zoba lake la mwanzo analia ili umuonee huruma tu
Wewe bdo unamtaka.na yeye anakutaka.msi2zuge hapa,mnatakana!bt mind u kuna UKIMWI,atakubebesha zgo lake la virus uhangaike nalo mji mzma.MPOTEZEE,tafta wako uoe,ujenge familia.
niko makin mdogo wangu,infact mnao honga ni nyie 1st yr,cc tunabeba 2.
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi nikajipendeza kumuita rum kwangu,alvokuja 2kapga story za kawaida 2,baadae nkamuulza,vp shemu wangu hajambo?cha kushangaza mmanzi akaanza kutoa machozi,thn akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?
labda unamfahamu mpenz wake ndo mana akalia mana amekosa la kukujibu.....wengine kama humjui mpenz wake anakujibu bado yupo yupo ili umtongoze.
Sasa we unamwita X wako chumbani ulikuwa unataka umfanyaje?
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi nikajipendeza kumuita rum kwangu,alvokuja 2kapga story za kawaida 2,baadae nkamuulza,vp shemu wangu hajambo?cha kushangaza mmanzi akaanza kutoa machozi,thn akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?
heheheee! Bro, mimi mgumu/m'bishi. Boom nalipiga mwenyewe.
majibu mazuri ungeyapata kwake
inawezekana alikoenda au kukimbilia kakuta si kama alikotoka