Sio lazima ukinunua chupi akuvue mtu wako sometimes we mwenyewe ukijiangalia baada ya kuvaa leo rangi hii kesho ile unaskia raha Na wew unajitamani atiiiHabari zenu jamani Jf,
Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana.
Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika wa hizo chupi kuzivua ni mpenzi wako pekee?kwanini usinunue vyupi vya rangi moja pekee ambayo unaipenda.Nimekubali kuna usaliti mkubwa sana kwenye mapenzi na mimi ni miongoni mwa wasalitiwa.
Unakaribishwa kusema lolote.
We unazo za zangi moja?,au unayo moja tu?Habari zenu jamani Jf,
Ni kama swali la kizushi ukilichukulia poapoa lakini lina maana kubwa sana.
Kuna ulazima gani unapoenda dukani kununua chupi unataka za rangi tofautitofati wakati muhusika wa hizo chupi kuzivua ni mpenzi wako pekee?kwanini usinunue vyupi vya rangi moja pekee ambayo unaipenda.Nimekubali kuna usaliti mkubwa sana kwenye mapenzi na mimi ni miongoni mwa wasalitiwa.
Unakaribishwa kusema lolote.
We hupendi pink?Nyeupe namba moja zinanipa raha rohoni, mitindo tofautiiiii kibao.