Swali linalohitaji jibu lako

Swali linalohitaji jibu lako

Ali Nassor Px

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2022
Posts
2,384
Reaction score
3,926
Una tafsiri vipi mtazamo wa watu juu yako.

1. Hawapo sahihi unajijua wewe mwenyewe.

2. Wapo sahihi watu wanaona vitu ambavyo wewe mwenyewe hauwezi kuviona kwako.
 
Kuna ambao mitazamo yao sio shida zetu 😀😀😀hatujale lolote
 
Shida ni kuwa watu Wana tabia ya kuamini ulivyo wewe kwa kuambiwa na watu wengine. Hawafanyi uchunguzi hata kidogo ili kujiridhisha.
 
wakikwambia wewe una roho mbaya baada ya kumnyima mtu kitu
Mtazamo una_lie under someone observations au perspective.

Binafsi najitahidi sana nisiwe carried na hiyo mitazamo. Ukisema hunikubali, kwangu it's okay, maana we umeona hivyo, pengine unasababu zako za msingi. Shida itakuja endapo nitataka kulazimisha unikubali
 
Daaaah mzee umeongea madini kama yote.

respect kwako kwa jibu lililonyooka
 
Back
Top Bottom