Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
labda wanasema wewe una roho mbaya au mvivuMtazamo upi?
π€£π€£π€£π€£ unyama sana mwaisaKuna ambao mitazamo yao sio shida zetu πππhatujale lolote
π€π€π€π€ kama nakuelewa elewa hivi mkuuShida ni kuwa watu Wana tabia ya kuamini ulivyo wewe kwa kuambiwa na watu wengine. Hawafanyi uchunguzi hata kidogo ili kujiridhisha.
wakikwambia wewe una roho mbaya baada ya kumnyima mtu kituInategemea na context
π€π€π€π€π€π€π€
Mtazamo una_lie under someone observations au perspective.wakikwambia wewe una roho mbaya baada ya kumnyima mtu kitu
Daaaah mzee umeongea madini kama yote.Mtazamo una_lie under someone observations au perspective.
Binafsi najitahidi sana nisiwe carried na hiyo mitazamo. Ukisema hunikubali, kwangu it's okay, maana we umeona hivyo, pengine unasababu zako za msingi. Shida itakuja endapo nitataka kulazimisha unikubali
Hapana mkuu huu ni special kwa ajiri ya vijana watafutaji ambao bado hawajatoka makwao na mtazamo wa jamii kuhusu waoHuu Uzi usije kuwa ni mtego wa Rangi za Upinde.