mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 313
Keki kavu hupendeza sio yenye maji ndani,
Utaila unacheza ngoma haionekani, Kama utajilegeza utaomba hadharani,
Haikwami ukimeza mambo hua burudani,
Kwa kweli yanishangaza utamu hadi ndotoni.
Kisu ukikipenyeza kitafika hadi chini, Wala hutakikwaruza kwa keki ilivyo laini.
Wengi wataka jifunza wajilie majumbani.
Lakini inawatatiza hawajui kipimo nini.
Hivi unafikiri ni keki gani? hebu nisaidie Jibu. Tafadhali