Swali: Lini katiba tulooneshwa itapigiwa kura?

Swali: Lini katiba tulooneshwa itapigiwa kura?

double R

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
2,399
Reaction score
2,541
Tuliahidiwa kwamba hiyo katiba walioandika tutaipigia kura, mara kabla ya uchaguzi baadaye nikasikia siku ya uchaguzi mkuu.
Sasa siku nyingi sijasikia chochote. Je mpango bado upo au umepotelea hewani?
Kama upo ni lini?
Halafu mbona hawa wanaosimama kwenye kampeni hawasemi chochote?
Msaada
 
Kinachonisikitisha ni jinsi zoezi lile lilivyotafuna pesa za walipa kodi na hatukupata kile tulichokitegemea. Ifike wakati tujifunze kuweka siasa pembeni, ukweli ni kwamba CCM hawakua wamejiandaa na wala haikua mpango wao kuhakikisha wanatuletea katiba mpya. Na hata kama walikua na nia njema, haikua lazima walazimishe mambo yote kwa uharaka ule matokeo yake pesa zimeenda na katiba hatuna, wameishia kuzalisha muungano wa ukawa ambao unawaumiza kichwa sasa!
 
walivoambiwa kua haiwezekan watukana sana ila saiv wala huwasikii wakiongelea
 
Tuliahidiwa kwamba hiyo katiba walioandika tutaipigia kura, mara kabla ya uchaguzi baadaye nikasikia siku ya uchaguzi mkuu.
Sasa siku nyingi sijasikia chochote. Je mpango bado upo au umepotelea hewani?
Kama upo ni lini?
Halafu mbona hawa wanaosimama kwenye kampeni hawasemi chochote?
Msaada

Wait until further notice!Subiri upige kwanza hiyo ya tarehe 25!
 
Watanzania hatuna lolote.Hata hiyo katiba pendekwa ikiletwa kwetu tutaipigia kura ya ndiyo tu.
Tutalainishwa na nyimbo nzuri za Diamond pamoja na maneno matamu.
 
Back
Top Bottom