walivoambiwa kua haiwezekan watukana sana ila saiv wala huwasikii wakiongelea
Tuliahidiwa kwamba hiyo katiba walioandika tutaipigia kura, mara kabla ya uchaguzi baadaye nikasikia siku ya uchaguzi mkuu.
Sasa siku nyingi sijasikia chochote. Je mpango bado upo au umepotelea hewani?
Kama upo ni lini?
Halafu mbona hawa wanaosimama kwenye kampeni hawasemi chochote?
Msaada
hata mi nilitaka niulize hilo