B Bi dentamol JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,018 Reaction score 2,130 Feb 9, 2014 #1 Nataka kununua mkanda wa kupunguza tumbo kwa monalisa nadhan wengi wetu tulishawahi kusikia ama kusoma habari zake kwenye magazeti' naomba kuuliza je dawa zake hazina madhara kiafya??? Mazoezi yamenishinda wajamen
Nataka kununua mkanda wa kupunguza tumbo kwa monalisa nadhan wengi wetu tulishawahi kusikia ama kusoma habari zake kwenye magazeti' naomba kuuliza je dawa zake hazina madhara kiafya??? Mazoezi yamenishinda wajamen
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Feb 9, 2014 #2 nasikia zina madhara....
tian JF-Expert Member Joined Jul 27, 2007 Posts 1,770 Reaction score 537 Feb 9, 2014 #3 Madhara lazima yawepo Zingatia mazoezi na lishe bora na sio bora lishe.