Swali muhimu la kibaiolojia

Swali muhimu la kibaiolojia

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
 
Swali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashimo ya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika.
 
Grams 400*2*366*75/1000/100
gunia 220
assumptions
anakunya gram walau 400,
anakunya mara 2 per day
life spani yake miaka 75
 
Back
Top Bottom