D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Oct 3, 2024 #1 Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
Hivi mpaka mtu anafika uzee, anakuwa ametoa wastani wa kilo au gunia ngapi za haja kubwa?!! Elimu yenu tafadhali
D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Oct 3, 2024 Thread starter #3 To yeye said: 🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Click to expand... Swali muhimu hili mkuu la kisayansi. Sayansi unafanya utafiti wa Kila kitu.
To yeye said: 🤣🤣🤣🤣🤣🙌 Click to expand... Swali muhimu hili mkuu la kisayansi. Sayansi unafanya utafiti wa Kila kitu.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Oct 3, 2024 #4 Swali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashimo ya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika.
Swali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashimo ya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika.
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 1,771 Reaction score 5,087 Oct 3, 2024 #5 Lycaon pictus said: Swali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashomoya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika. Click to expand... Nice reply
Lycaon pictus said: Swali zuri. Linaweza saidia jinsi ya kupanga mashomoya choo, kuplan sewage systems na kukadiria muda wa vyoo kutumika. Click to expand... Nice reply
M mhogoz JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 739 Reaction score 1,195 Oct 3, 2024 #6 Grams 400*2*366*75/1000/100 gunia 220 assumptions anakunya gram walau 400, anakunya mara 2 per day life spani yake miaka 75
Grams 400*2*366*75/1000/100 gunia 220 assumptions anakunya gram walau 400, anakunya mara 2 per day life spani yake miaka 75