SWALI: Nani ni Malkia wa Nguvu kwako huku JF?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Husika na kichwa cha habari hapo juu ila naomba twende sawa maana kuwa watu sio waelewa kabisa!

Kwakuwa tupo msimu wa Malkia wa Nguvu; toa yako ya moyoni utuambie

Nani ambae unamkubali sana kuwa ni malkia wako wa nguvu

Huku jamii forum tu sio nje ya hapa!

Mimi wa kwangu ni Mdogowangu lara 1

She's the best!

oh nataka kumsahau mdogowangu Miss Natafuta

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…