Swali ndugu zangu

Swali ndugu zangu

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Ligi yetu ya kibongokibongo sio muda awamu ya kwanza inaenda kumalizika soon lkn mpaka SAS TFF hawajamupata mdhamini wa ligi.je hali ikiendelea mpaka mwisho bingwa atalipwa hela na TFF?
 
Kwa swali lako jibu ni ndiyo
 
Ligi yetu ya kibongokibongo sio muda awamu ya kwanza inaenda kumalizika soon lkn mpaka SAS TFF hawajamupata mdhamini wa ligi.je hali ikiendelea mpaka mwisho bingwa atalipwa hela na TFF?
Acha kwanza Yanga tuchukue Ubingwa,nyie Mikia endeleeni kuulizia zawadi za Bingwa then mje mtukabidhi.
 
Rais wa TFF ni Msomali.
Katibu Mkuu ni Mrundi..

Huyo sponsor atakuwa Msomali au Mrundi?
 
Back
Top Bottom