Swali: Ni wakati upi Jaji anaendesha kesi hulazimika kutoa sababu ya maamuzi ?

Swali: Ni wakati upi Jaji anaendesha kesi hulazimika kutoa sababu ya maamuzi ?

Mtimbo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1,392
Reaction score
797
Habari Ndugu zangu? Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nianze kwa nukuu ifutayo.

"HAKI HAIPASWI TU KUTENDEKA BALI YAPASWA KUONEKANA IMETENDEKA"

Kwa sasa wengi wetu tumejawa na tashwishi,
Hatujui iliyo ya HAKI Wala iliyo ya HALAM
Nafsi zetu zimeinama, tukiponzwa na matarajio yetu wenyewe ,lazima tuwe wa kweli labda tuliaminishwa na kuhadaika na tabasabu kubwa mithili ya Mwezi mpevu

Hadi sasa hatujui kilichotokea, kila mmoja kashikwa na bumbuwazi, nikama vile tuko njozini, tumeshikwa na jinamizi ambalo halitaki kutuachia, tunajitahidi kujitingisha Ili fahamu zetu zilejee ila bado tunawoga, tukizinduka tutaangalianaje? Kilele zipigwazo zitamkimbiza jinamizi au ndio zinamburudisha? Japo wahenga unena Kimya kingi kina mshindo
SWALI nijiulizalo Kama hawezi kukimbizwa kwa kelele je ataweza kukimbizwa kwa ukimya?

Nisiwachoshe turudi kitalani Ili tupeane Mwanga, hadi sasa kwa upande wangu kitu pekee nilichokiona ni Giza....ila safahamu kama Giza la kukucha au lah!

Nimalizie kwa SWALI langu hapo juu
Nitakuwa mmwenye furaha endapo majibu yatapatikana.

Natanguliza Shukrani.

Ni wakati gani JAJI HULAZIMIKA kueleza sababu za Kufanya Maamuzi yake?
 
Ngoja tusubir wajuzi maana yeye anasema tu Wana kesi ya kujibu wakati mlolongo wa ushahidi ukioletwa upo hovyo,sasa anatumia ushahidi ule au Kuna mwingine?
 
Wakati wote, ndiyo msingi wa kanuni ya natural justice
 
Back
Top Bottom