COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,603
- 3,658
Ukisoma historia ya Mkoloni utaona kuwa Unguja ndiyo Zanzibar halisi. Pemba ni kisiwa tu kilicho kuja kujumuishwa kama moja ya sehemu ya Zanzibar (a.k.a Unguja). Hata huyo Sultan alikuwa ameweka makazi Zanzibar (Unguja), na ndiyo maana hata wanamapinduzi ni Watu wa Unguja (Zanzibar).
Sasa najiuliza watu Pemba wanavyodai kuwa wanataka ZANZIBAR (a.k.a UNGUJA) huru, hivi ni kweli wanajua wanacho kidai au Wanataka kuirudisha PEMBA yao kinyemela nyemela kwa kutumia Mgongo wa Watu wa Zanzibar (UNGUJA) ?. Hata mara baada ya Mapinduzi ya Zanzibar (BOFYA HAPA:Zanzibar Revolution - Wikipedia, the free encyclopedia )Mwaka 1964 iliundwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Pemba (BOFYA HAPA: People's Republic of Zanzibar and Pemba - Wikipedia, the free encyclopedia).
Kwa kusoma Historia bila kupindisha Macho Mapinduzi yalifanywa na Wazanzibar (Waunguja) amabao walimwaga damu kuikomboa nchi yao, hawa Wapemba hawakushiriki kwenye mapinduzi. TAZAMA RAMANI HIYO YA KIISTORIA.

Swali Zanzibar huru ni ipi? UNGUJA au PEMBA.