Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani.

Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili.

Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa mafuta yote? ama ni kwa petroli na dizeli tu? na je kwa miezi mingapi?

Mwenye majibu, tusaidie.
 
Sikiliza hotuba ya waziri, nadhani alisema mwezi mmoja.
 
Hiyo itapigwa juu kwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…