Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Na shida iko hapo, hajui mipaka yake ya kazi, katibu au makamu mwenyekiti wala hawatoi MAIGIZO kama hayo.Hata angekuwa waziri asiye na wizara maalum, bado anakuwa na mipaka ya kiutendaji.
Jukumu lake ni kueneza itikadi za chama. Aite vyombo vya habari amalizane nao, siyo kuwasimami watumishi wa serikali.
Anatafuta ulaji kwa nguvu, na uongozi hawezi, anatafuta madaraka na mamlaka, kunyanyasa watendaji.Na shida iko hapo, hajui mipaka yake ya kazi, katibu au makamu mwenyekiti wala hawatoi MAIGIZO kama hayo.
Aliye mchaguwa ndiyo mwenyemapungufuNa shida iko hapo, hajui mipaka yake ya kazi, katibu au makamu mwenyekiti wala hawatoi MAIGIZO kama hayo.
duuh.pesa za uma = pesa za ccm
je una swali jingine ndugu mtumishi?