Swali: Tozo mpya za miamala zimeshavuna kiasi gani cha pesa hadi sasa?

Ingekuwa vizuri kama wangetupa total ya mkeka, unasoma ngapi hadi sasa?
 
Lameck nchemba mwigulu Ana majibu yote,nadhani anasoma hili bandiko ,atujuze sisi watanzania tunaoichangia nchi yetu pendwa, Tanzania
 
Naikwepa miamala kama covid sikuizi, huwezi kunitumia bank then ntazifata mwenyewe physically
 
Update: Waziri Mwigulu Nchemba kupitia TBC 1 (19/08/2021) amesema kwamba mapatao ya mwezi uliopita yamezidi makusanyo ya miezi mingine yote toka 2017. Swali linabaki, katika hayo makusanyo, Tozo mpya ni trillion ngapi na kodi zingine za siku zote ni kiasi gani? Tunasubiri majibu
 
 
 
Naona sasa tunakwenda sawa, ukiona tulivyovitaja hujavishuhudia maeneo unayoishi basi amini tu na tambua mambo hayo tunayafanya kwa maeneo jirani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…