INNOMATIX
Senior Member
- Aug 24, 2013
- 113
- 47
Wana jamvi salama?
Leo nakuja na swali ambalo nimelifikiria muda mrefu, mzee wangu aliwahi kutumia huu umeme wa inverter ambapo unachaji kupitia umeme wa TANESCO na kuiwasha unapokatika au kuitajika. Ulikuwa na uwezo wa kukaa masaa 12 huku ukiwasha kila kitu kabla ya kuisha, nilikuwa nahitaji uelewa wenu juu ya hii system na gharama zake kama nitahitaji kuitumia kwa kuchaji simu kadhaa,laptop na kuwasha tv tu.
Asanteni