Ni kweli ule ni umeme ila chanzo chake huwa 12v dc battery (ya gari) ambapo 12v hubadilishwa na kuwa 220 AC kwa kutumia transformer kubwa na power (transistor) husukwa na kuwa tayari kwa kutumia ila battery huchajiwa na tofauti inverter yenyewe hufanyakazi ya kubadilisha 12dcv kuwa AC (umeme wa nyumba) ila gharama inawezakuwa 70000 and above kama muhitaji conts: 0684908133.
Wana jamvi salama?leo nakuja na swali ambalo nimelifikiria muda mrefu...mzee wangu aliwahi kutumia huu umeme wa inverter ambapo unachaji kupitia umeme wa tanesco na kuiwasha unapokatika au kuitajika....ulikuwa na uwezo wa kukaa masaa 12 huku ukiwasha kila kitu kabla ya kuisha.....nilikuwa nahitaji uelewa wenu juu ya hii system na gharama zake kama nitahitaji kuitumia kwa kuchaji simu kadhaa,laptop na kuwasha tv tu.....
Asanteni