S shemahenga Senior Member Joined Jun 28, 2015 Posts 130 Reaction score 51 Jul 6, 2015 #1 Napenda kuuliza vipi kuhusu vibali Maalumu vya kubadilisha vituo vya kazi toka TAMISEMI, vinatoka kwa batch nini? Maana naona mahimahi ya wale waliomba mwezi wa Tatu, vipi kuhusu wa mwezi wa Tano?
Napenda kuuliza vipi kuhusu vibali Maalumu vya kubadilisha vituo vya kazi toka TAMISEMI, vinatoka kwa batch nini? Maana naona mahimahi ya wale waliomba mwezi wa Tatu, vipi kuhusu wa mwezi wa Tano?