Swali: Wachezaji wetu wakienda kucheza kimataifa huwa wanalipwaje

Kucheza timu ya taifa ni kujitolea zaidi. Hata Ulaya ni hivyo, kuna kipindi timu ya taifa ya Uingereza walikuwa hawachukui posho hata mia posho zao kwa hiari yao zilipelekwa kwenye charity organization.
 
Kucheza timu ya taifa ni kujitolea zaidi. Hata Ulaya ni hivyo, kuna kipindi timu ya taifa ya Uingereza walikuwa hawachukui posho hata mia posho zao kwa hiari yao zilipelekwa kwenye charity organization.
Hapa bongo posho timu ya taifa ilikua inazidiwa na hela ya mechi za ndondo enzi za Tenga ..walau sasa wanalipwa vzr ...miaka ya nyuma posho Taifa Stars haizidi 50k
 
There are two points to consider when discussing the pay of players in the England national team:

Match Payments:

Historically: Players received around £2,000 per appearance. However, since 2007, these match fees have been donated to the England Football Foundation, which then distributes the money to charities. So, while players technically earn this amount, they don't keep it.
Bonuses: There might be performance-based bonuses for major tournaments like the World Cup, but exact figures are not publicly disclosed.
Individual Player Earnings:

It's important to remember that England players are among the highest-paid footballers globally, primarily through their club salaries. Top names like Harry Kane, Jordan Henderson, and Jude Bellingham reportedly earn weekly wages exceeding £200,000 at their clubs.
Representing the national team is more about national pride and prestige than a significant financial gain.
Therefore, while individual players are incredibly wealthy due to their club contracts, the national team itself offers them no direct personal financial benefit beyond potential bonuses and the satisfaction of representing England.


Kutoka google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…