Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Dec 23, 2019 #1 Nimepata safari ya haraka sana nchi ya mbali kidogo, na passport imepotea kama wiki3 zilizopita pamoja na vitambulisho kadhaa
Nimepata safari ya haraka sana nchi ya mbali kidogo, na passport imepotea kama wiki3 zilizopita pamoja na vitambulisho kadhaa
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Dec 23, 2019 #2 Watery said: Nimepata safari ya haraka sana nchi ya mbali kidogo, na passport imepotea kama wiki3 zilizopita pamoja na vitambulisho kadhaa Click to expand... Nimeandika na kufuta zaidi ya mara 9. Hakika Shule za Kata zimeleta majanga
Watery said: Nimepata safari ya haraka sana nchi ya mbali kidogo, na passport imepotea kama wiki3 zilizopita pamoja na vitambulisho kadhaa Click to expand... Nimeandika na kufuta zaidi ya mara 9. Hakika Shule za Kata zimeleta majanga
Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Dec 23, 2019 Thread starter #3 blessings said: Nimeandika na kufuta zaidi ya mara 9. Hakika Shule za Kata zimeleta majanga Click to expand... Nieleze ata kwa kiswahil please ili nijue nakoanzia kesho
blessings said: Nimeandika na kufuta zaidi ya mara 9. Hakika Shule za Kata zimeleta majanga Click to expand... Nieleze ata kwa kiswahil please ili nijue nakoanzia kesho
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,117 Dec 23, 2019 #4 Ulikua Wapi Muda Wote Huo Mkuu?