Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtu ni wewe unaficha nini??Kuna mtu anatatizo la kutokwa na vinyamanyama akitaka kunisaidia haja ndogo katumia dawa Sana kapima UTI lkn nothing tatizo inaweza kuwa nn naomba Msaada
Kuna mtu anatatizo la kutokwa na vinyamanyama akitaka kunisaidia haja ndogo katumia dawa Sana kapima UTI lkn nothing tatizo inaweza kuwa nn naomba Msaada
Bawasiri ya ukeni hiyo au?Bawaziri
Ugonjwa unaitwa bawasiri nenda CCBRT dar ukatoleweYy kwake iko hiv akibanwa haja ndogo wakati mwingine hivyo vinyamanyama Vina zina kwenyewe Mkojo unatokea Sasa anapata Maumivu makali kwa chini ya tumbo mpaka kilichoziba kivunjwe kivunjwe vunjwe kitoke kwanza nje ndo na Mkojo natoka
Yy kwake iko hiv akibanwa haja ndogo wakati mwingine hivyo vinyamanyama Vina zina kwenyewe Mkojo unatokea Sasa anapata Maumivu makali kwa chini ya tumbo mpaka kilichoziba kivunjwe kivunjwe vunjwe kitoke kwanza nje ndo na Mkojo unatokaElezea vizuri shida yako. Vinyama vikoje, ukijisaidia vinarefuka au vinatoa damu, vimeanza lini.... hadi sasa umetumia dawa gani na hali inaendeleaje.
Nakushangaa sana kwa kuficha haya maradhi, ndio maana umeshindwa kwenda hospital ukaeleza ukweli na kutibiwa...UTI na vinyama wapi na wapi.... endelea kuficha...vikizidi na kuvimba zaidi mwenyewe utasema.
Yy kwake iko hiv akibanwa haja ndogo wakati mwingine hivyo vinyamanyama Vina zina kwenyewe Mkojo unatokea Sasa anapata Maumivu makali kwa chini ya tumbo mpaka kilichoziba kivunjwe kivunjwe vunjwe kitoke kwanza nje ndo na Mkojo natoka
mpe pole, nawewe uandishi wako huu mtu kukuelewa ni kazi..... sasa mshauri awahi hospitali (sio zahanati za vichochoroni) akajieleze kwa uwazi bila kuficha kitu maana hapa utaulizwa maswali utashindwa kujibu kwa kuwa wewe siye mwenye hilo tatizo..Yy kwake iko hiv akibanwa haja ndogo wakati mwingine hivyo vinyamanyama Vina zina kwenyewe Mkojo unatokea Sasa anapata Maumivu makali kwa chini ya tumbo mpaka kilichoziba kivunjwe kivunjwe vunjwe kitoke kwanza nje ndo na Mkojo natoka
OK [emoji106]mpe pole, nawewe uandishi wako huu mtu kukuelewa ni kazi..... sasa mshauri awahi hospitali (sio zahanati za vichochoroni) akajieleze kwa uwazi bila kuficha kitu maana hapa utaulizwa maswali utashindwa kujibu kwa kuwa wewe siye mwenye hilo tatizo..