SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

Wanawake na ujanja wao wote iwapo ataolewa na mwanaume anayemzidi ubavu huwa wanashindwa tu kurudi makwao.

Haswa huku kanda ya ziwa huwa inabidi avumilie ni mwiko kwa mwanamke alieolewa kullamika kuwa jamaa anamaumbile manene na marefu.

Halafu kila mwaka mimba inatinga inafikia wakati kizazi huwa kinashuka mpaka kinachungulia nje na fistula juu.

Hapo mwanamke akisia sauti ta mumewe huwa anamuogopa hiyo ndio heshima.
 
Hahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hata ukinipa beyonce,Rihanna, Jack appiah, priyanka chopra na Tiwa Savage bado nitachepuka tu.
 
Kuchepuka kutamu asikuambie mtu, km huamini jaribu

Pia kuchepuka ni kipimo cha urijali kwa mwanaume
 
Vizuri sana mkuu na hongera kwa kuweza kuzuia tamaa ya mwili
 
 
Fanya utafiti ni kwa nini wanaume wanachepuka .. ukipata majibu ndo uyafanyie kazi.
 
mwanamke akishaolewa anajisahau hata usafi unakuwa wa kiwango cha chini saa ngapi mwanaume asiende kuchota maji kenye kisima kisafi?
 
Wacha niseme ukweli bhana. Nje tunapewa "Ndogo" ndani tunanyimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…