SWALI: Wanaume mpewe nini muache kuchepuka?

kwakweli ni balaha kwa upande wangu we mpe mapenz motomoto atoweza kuchepuka huyo
 
Swali, wanawake mfanyiwe nini ili muache kupenda kwingine?
Maana unakuta sometimea mwanaume anahudumia vyote lakin bado mtaruka njia na kuangukia kwingine ?
 
Mwanaume anachohitaji ni heshima. Hata biblia imesema( lakin ni hii ni kwa wale waanaojiheshimu.)
Tabia zinazowafanya wanaume wachepuke ni ndogo ndogo, kama kuwa na kiburi, ubishi, ujuaji. Kuto msikiliza mumeo.
Hakuna mwanaume atakaa na mwanamke kiburi, hayupo. Hata kama umemzidi mshahara onyesha heshima. Ukiweza hilo akichepuka tena labda atakuwa muhuni.
 
Mwanaume kukosa mchepuko ni sawa na utawala wa nchi bila vyama vya upinzani.. maana yake hakuna demokrasia ila sasa..[emoji19][emoji19][emoji19]....??..mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na KIKUNDI CHA WAASI...kwenye utawala wa kidemokrasia....[emoji6][emoji6]
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…