Rayvanny mbona ngoma zake ziko trending 3?Kwa taratibu za Youtube nyimbo 2 kutoka kwenye chaneli moja haziwezi kuwa trending...
And this case is closed.Kwa taratibu za Youtube nyimbo 2 kutoka kwenye chaneli moja haziwezi kuwa trending...
Rayvanny mbona ngoma zake ziko trending 3?
Thanks mkuu iko vizuri hii ila kwa No.1 tu
Ila moja inaweza kuwa ya kwanza na ingine ya 20??
Wimbo unapozidi kutafutwa na kutazamwa sana ndio nafasi ya kuwa trending huwa inapanda...Kuna vigezo vinavyofanya nyimbo kuwa kwenye trending kwa namba tofauti... Muda wa video kupakiwa, watazamaji, na muendelezo wa kutazamwa au kutafutwa sana kwenye mtandao kwa muda husika.
Hao u tube si wanaichezeaga huwajui?...wasikusumbue wazee wa robotWimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje
Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza
Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO
Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a lot lf sense
Wimbo wa Rayvanny mama la mama haumo kabisa umekuwa replaced na vumilia!!
Inawezekanaje Trending No. 1 ikapotea ghafla hata isiwemo kwenye 50s trending
Wadau naomba majibu
Big lieKwa taratibu za Youtube nyimbo 2 kutoka kwenye chaneli moja haziwezi kuwa trending...