Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa nini kunakuwa na tofauti hizo za rate?Wanalipa kutokana na nani kaangalia.
Mfano mtu ka upload video Wamarekani 1000 Waka angalia, mwengine ka upload video watanzania 10,000 Waka angalia, yule mwenye 1000 wa Marekani watapata hela zaidi.
Ukiwa publisher huwa rate unaziona.
Ni vizuri kujifunza, kwa sababu YouTuber wa kule ni matajiriWajuzi watakuja
Kwenye nchi zilizoendelea watu wana vipato vikubwa kwahiyo wanaweza kufanya manunuzi mtandaoni.Kwa nini kunakuwa na tofauti hizo za rate?
Kwanini yule mwenye viewers wa marekani analipwa zaidi?Wanalipa kutokana na nani kaangalia.
Mfano mtu ka upload video Wamarekani 1000 Waka angalia, mwengine ka upload video watanzania 10,000 Waka angalia, yule mwenye 1000 wa Marekani watapata hela zaidi.
Ukiwa publisher huwa rate unaziona.
Kwenye hii video, unaweza kutoa maoni gani?Jibu ni ndio na hapana . Lakini kwanza fahamu yafuatayo. 1. Malipo ya Toutube ni kweli yanaweza kuathiriwa na Visitor anapotoka (Geos) hii inamaana visitor akitokea Tanzania utalipwa kidogo kuliko akitokea Canada, kenya , au ulaya.
2. Niche Aina ya maudhui , kila maudhui ya kiwango chake cha kulipwa mfano mtu anayepost content ya insuarence atalipwa hela kubwa kuliko anayepost Michezo. Hovyo huenda aina ya maudhui wanayoposti yanahela zaidi.
Kwanini ndio na hapana? Youtuber wa huko wana nafasi kubwa kuwapata views wa nchi zinazolipa zaidi. Lakini hata youtuber wa Tanzania anaweza kutarget kupata hao visitor.
Kwa nini inakuwa hivyo, au ni ubaguzi?Naam Ina changia pia, malipo ya views milioni Moja ya channel ya marekani, sio sawa na ya tz.
Sababu wanaoweka matangazo ndio wanaamua. Purchasing power ya Mtamzania si sawa na Usa.Kwa nini kunakuwa na tofauti hizo za rate?
Malipo ya youtube hutegemea matangazo. Ngoja nikuulize swali wewe nimfanya biashara wa Iphone kuna watu wawili wanakutangazia biadhara , 1. Mmoja anaenda kukutangazia kwenye shule ya primary kwa wanafunzi huko kitohori . Wapili anaenda kukutangazia biashara kwa wadada wa chuo. Wewe utamlipa Yupi zaidi?Kwanini yule mwenye viewers wa marekani analipwa zaidi?
Inawezekana uko sahihi, nini sasa kifanyike ili na sisi youtube zitufanye tuwe matajiri?Kwenye nchi zilizoendelea watu wana vipato vikubwa kwahiyo wanaweza kufanya manunuzi mtandaoni.
Huku kwetu watu wana vipato kidogo kipaumbele ni mahitaji ya msingi tu.
Ulishawahi kuona tangazo youtube ukaamua kununua hicho kitu? Umewaona watanzania wangapi wakifanya hivyo?
Sababu Ukiwa na Viewers wa Marekani utapewa matangazo toka Kampuni za Marekani ambazo zina lipa zaidi compare na Za kwetu kama kina Voda na Tigo.Kwanini yule mwenye viewers wa marekani analipwa zaidi?
Kwanini yule mwenye viewers wa marekani analipwa zaidi?
hakuna cha kufanyika,Inawezekana uko sahihi, nini sasa kifanyike ili na sisi youtube zitufanye tuwe matajiri?
Sababu wanaoweka matangazo ndio wanaamua. Purchasing power ya Mtamzania si sawa na Usa.
Mfano Vodacom Tanzania anaweka Tangazo YouTube anasema mimi Nita lipa sh 5 kwa view, ina maana Mtanzania aki angalia basi mwenye video analipwa let's say sh 3. Wanatoa hela ndogo sababu hata ukiona Tangazo hutawaingizia sana hela.
Ila kampuni za Marekani kama Apple zikiweka Tangazo wanalipa zaidi sababu wa husika wanaowatarget purchasing power yake ni kubwa hivyo hata wakilipa sana hela itarudi. Na wao Apple waliweka Tangazo wana specify kabisa Mtanzania asioneshwe aoneshwe Mmarekani, Muingereza, Japan Etc.
Hivyo ili content creator apate hela inabidi aweke content zinazotarget nchi tajiri ili apate matangazo yenye hela.
Hata watanzania unaweza kuwa tajiri kupitia youtube . Mchawi content za kuvutia watu tu. Hukosi dollar 5000$-50,000$ kwa mwezihakuna cha kufanyika,
labda utengeneze vitu ambavyo wazungu watapenda kuangalia