Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Video refu ina double impression . Tangazo linaweza kutokea zaidi ya mara mbili. Hivyo video refu inalipa kuliko video fupiHivi hata hizo bongo series zinapitia mgongo ule ule. Kwa sasa kuna watengeneza films wengi wanaweka series zao YouTube na ukiangalia mahadhi yake unaona kuna investment imetumika kutengeneza. Je inawalipaje?...
Nakumbuka inasemekana urefu wa video unachangia, mfano video ya dakika tatu na film ya dakika 30.. Filamu zinapokea zaidi per view
Lakini pia hata quality ya video na content yake..
Je vigezo hivi vipo sahihi na kama kuna vingine ni vipi mkuu
Watu wanaoanza kwa lengo la kulipwa mara nyingi tunaishia njiani🤣Asante kwa ufafanuzi mkuu. Je, mtu anaanza kulipwa anapofikisha viewers wangapi na rates zikoje mkuu?
Siku hizi wanaanza kulipa ukifikisha subscribers and views ngapi mkuuVideo refu ina double impression . Tangazo linaweza kutokea zaidi ya mara mbili. Hivyo video refu inalipa kuliko video fupi
Video ndefu kuna watu wanaweka matangazo mengi, unakuta Video ina dakika 30 kila dk 5 kuna Tangazo, matangazo 7 hayo.Hivi hata hizo bongo series zinapitia mgongo ule ule. Kwa sasa kuna watengeneza films wengi wanaweka series zao YouTube na ukiangalia mahadhi yake unaona kuna investment imetumika kutengeneza. Je inawalipaje?...
Nakumbuka inasemekana urefu wa video unachangia, mfano video ya dakika tatu na film ya dakika 30.. Filamu zinapokea zaidi per view
Lakini pia hata quality ya video na content yake..
Je vigezo hivi vipo sahihi na kama kuna vingine ni vipi mkuu
Naona 5000 zimekutoa roho, ukiingia huko kwa motive ya hela utaona watu kama waongoEbu tupe elimu, inakuwaje kuwaje kuipata hiyo $ 5000? Na watazamaji wanatakiwa watokee wapi.
Naona 5000 zimekutoa roho, ukiingia huko kwa motive ya hela utaona watu kama waongo
🤣yani hautafika mahali utakata tamaaNaona 5000 zimekutoa roho, ukiingia huko kwa motive ya hela utaona watu kama waongo
Wewe unashauri nini kifanyike mkuu?Naona 5000 zimekutoa roho, ukiingia huko kwa motive ya hela utaona watu kama waongo
Umeongea kweli kaka!Naona 5000 zimekutoa roho, ukiingia huko kwa motive ya hela utaona watu kama waongo
Fanya kazi mkuu hela.ikukute mbele. Nunua camera nzuri chagua niche, tengeneza, maudhui mazuri , kuwa na mwendelezo nadhan matunda yatakufuata. Ukianza kwa lengo la kupata pesa utafanya self click halafu watakufungia ukose vyote😂Wewe unashauri nini kifanyike mkuu?
Sawa chief nimekupataFanya kazi mkuu hela.ikukute mbele. Nunua camera nzuri chagua niche, tengeneza, maudhui mazuri , kuwa na mwendelezo nadhan matunda yatakufuata. Ukianza kwa lengo la kupata pesa utafanya self click halafu watakufungia ukose vyote😂
Wewe subiri kupewa kanga ya siku ya wanawake ushone iwe mwanamke au mwanaume.Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji.
Kinacho nishangaza zaidi, kila video wanazozitoa ni kusaidia tu watu; sasa najiuliza, ina maana huko kwao Youtube inawalipa sana kiasi cha kila video kuwa na maudhui ya kusaidia watu kifedha na mali?
Na kama ni hivyo, wanazipataje hizo fedha? Na huku kwetu, je wanalipwa sawa na hizo nchi zingine?
Leteni majibu
Ukiitaka pesa ya YouTube, kwanza kabisa chukulia kuwa YouTube ni Ofisi yako, Be serious na hiyo kazi.. yani ithamini, chukulia kua hiyo ni kazi rasmin kama zilivyo kazi nyengine!Wewe unashauri nini kifanyike mkuu?
Mkuu sijasema kwamba sina maudhui, ya kwangu yapo kikaangoni maana nilisubiri nipate vitendea kazi vyote muhimu so niko jikoni napika najua audience yangu inapenda nn so najua nikianza tu kuweka kazi zangu angalau nina audience na sio kwamba nitakua naanza upya. Maudhui ambayo niliyokuwa nimekwisha pakua sio ya kwangu yana copyrights. Nadhani umenielewa. Kutuboa kupo sana ishu ni kujua niche yako tuSasa kama hauna content niuongo mkuu huwezi kutoboa
Swali zuri. Mm sijaanza kulipwa kwa sababu sina maudhui yangu mwenyewe, niliyonayo ni miliki ya watu wengineNi vizuri wewe upo field unaweza kutupa majibu sahihi, Kwa status uliopo, imeshaanza kukuingizia mapato, na je yanaridhisha?
Kwa mfano, nikiweka maudhui ya kwenda kuwinda mbugani; inaweza kuchukua muda gani kuanza kupata malipo?Swali zuri. Mm sijaanza kulipwa kwa sababu sina maudhui yangu mwenyewe, niliyonayo ni miliki ya watu wengine
Hayo ni maudhui mazuri sana kwa wewe kuanza kupakia YouTube. Ishu ya itakuchukua muda gani hapo inategemea na umakini wako ktk kutengeneza kazi zako, ubora wa content zako, engagement yako kwenye social media pamoja na kasi yako katika kupakia hizo kazi zako. With time you gonna gain massive. Kumbuka ku-build YouTube channel ni suala moja, kuanza kulipwa ni suala lingine.Kwa mfano, nikiweka maudhui ya kwenda kuwinda mbugani; inaweza kuchukua muda gani kuanza kupata malipo?