Swali

Swali

Joined
Jun 29, 2013
Posts
38
Reaction score
1
"Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!"
 
"Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!"

NECTA wanahusikaje, wakati wao wanadhamana ya kutunga na kusahishaa mitihan 2! Jipangee then ndo uulize swali lako
 
Kama necta ndo wanapangaga wanafunz wa kwenda form five yani mdogo wangu hapo ndo utaelewaa !! Uwiiii na wewe unajiita umefaulu form 4??
 
Back
Top Bottom