David Peter Sembosi Member Joined Jun 29, 2013 Posts 38 Reaction score 1 Jul 1, 2013 #1 "Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!"
"Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!"
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Jul 1, 2013 #2 David Peter Sembosi said: "Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!" Click to expand... NECTA wanahusikaje, wakati wao wanadhamana ya kutunga na kusahishaa mitihan 2! Jipangee then ndo uulize swali lako
David Peter Sembosi said: "Hivi jamani hawa N.E.C.T.A wameamua nini kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano mwaka huu?Yaani hata sielewi!" Click to expand... NECTA wanahusikaje, wakati wao wanadhamana ya kutunga na kusahishaa mitihan 2! Jipangee then ndo uulize swali lako
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Jul 2, 2013 #3 subir waunde tena tume ya uchunguzi
Wazo la kabwela JF-Expert Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1,812 Reaction score 1,373 Jul 3, 2013 #4 Kama necta ndo wanapangaga wanafunz wa kwenda form five yani mdogo wangu hapo ndo utaelewaa !! Uwiiii na wewe unajiita umefaulu form 4??
Kama necta ndo wanapangaga wanafunz wa kwenda form five yani mdogo wangu hapo ndo utaelewaa !! Uwiiii na wewe unajiita umefaulu form 4??