Je sheria ya ndoa inasemaje kuhusu mwanaume aliyetelekezwa na kukimbiwa na mke wake baada ya mwaume kupata ajali iliyo sababisha kuwa mremavu na kuwa tegemezi kwa mkewe je mwaume anayo haki ya kufungua kesi madai dhidi ya mke wake na kudai fidia au matunzo kwa sababu ndie mtu anaye mtegemea kwa kila kitu?