Swali!

Swali!

bakayoko

Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
10
Reaction score
0
Wana Jamii!
Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na Hazina Mwezi huu wa nne kati ya Tarehhe 8 na 15?
Kuna mtu aliniambia kuna nafasi za Uhasibu zimetangazwa. Ni kweli?
Nisaidieni.
 
Wana Jamii!
Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na Hazina Mwezi huu wa nne kati ya Tarehhe 8 na 15?
Kuna mtu aliniambia kuna nafasi za Uhasibu zimetangazwa. Ni kweli?
Nisaidieni.

Nikweli lakini zilikua za agency ya manunuzi yaani Government Procurement service Agency (GPSA)
 
Nikweli lakini zilikua za agency ya manunuzi yaani Government Procurement service Agency (GPSA)

Jamani nimeona posts huku Sauzi kabakaba thro gazeti la Sundat Times, jumapili ilopita, za kufanya kazi SADC headquarter, in Gaborone Botswana! Please jaribuni wabongo!Try to go into Website: www. sadc.int , riziki popote sio tunawaachia jamaa nchi nyingine kufill hizo posts tu. Deadline 15 May 2010. All the best guys!!!!
 
Asante kwa kunipa uhakika.
Kama dead line bado na unajua sifa na nafasi zilizotangazwa naomba nipe nijaribu kuomba.
hasa za Uhasibu.
 
Back
Top Bottom