swali

Chauro

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
2,968
Reaction score
1,478
ivi watu wote huwa tunapenda kama mimi hata ukijaribu kumfuta kwenye akili masaa machache tena anakuwepo japo tumeachana na nipo kwenye penzi jingine halafu ukifikir sana mtu huyo huyo ameshakutenda ajabu lakini moyo wako bado upo kwake toeni uzoefu wenu tafadhali nipate kutulia
 
Hali hii inawatokea watu wengi na hasa kama ulimpenda kwa dhati!
 

ndugu yangu wewe upo ki-peke yako.....wengine huwa risasi ikitoka hairudi bundukini....inaelekea ulie nae hajakukolea....polepole utazoea
 

Hii inatokea mara nyingi hasa ikiwa wewe ndiye ulieachwa na alikuacha ukiwa unampenda lakini kama ulimuacha wewe huwa haiumi kihivyo. Ila taratibu utazoea ingawa huwa inachukua muda kidogo na ucjali kwani inawatokea watu wengi sana.
 
Mimi juzi tu nimemwacha mtu lakini kamoyo kanamkumbukakumbuka ila najitahidi kupotezea ila kwa sasa nipo"SINGLE":tonguez:
 

Inategemea.....samahani wewe ni he/she?:llama::llama:
 
pole sana chauro....pole sana
km vp mfate zungumza nae km mnaweza mkaretreat then mak t
ulimpenda sana tena sana sasa haina haja we kuumia ivo ongea nae akionekana anaonyesha kujuta kwa aliyoyafanya then mrudishe kazin bt km alikuacha kwa matusi mia na ana mahusiano mengine basi apo huna budi kuvumilia ndg yangu
kwani uyo auliyenae ana nini mpk upate chans ya kumuwaza sana uyo aliyekutenda?
zungumza nae labda anaweza aka do vile wewe unataka then km kawa labda itasaidia kukusahaulisha wa awali...inaonekana ITAKUWA HAKUPI AU HAKUKUNI KUMOYO NA KIVITENDO KM YULE... angekuwa anakushibisha raha wala usngemuwaza yule wa kwanza ..dzain anakuacha na NJAA thats y UNAKUMBUKA SHIBE ILIYOPITA....zungumza nae mwambie na umwelezee wewe mpk ushbe vitu gan vnatakiwa...

pole
 
Pole chauro ...... ndio maisha ya mapenzi hayo inaelekea bado hujamwacha kabisa emotionally ... usipoangalia utamkwaza huyu uliye naye ilikupasa ukae muda mrefu wa kutosha kumsahau huyo wa kwanza kabla ya kuingia kwa penzi jipya.
 

Alipokukosea hukumpatia nafasi ya kujirekebisha. Sasa unawaza kwamba pengine ungemsamehe na kumpa nafasi ya pili huenda angejirekebisha vizuri sana. Kosa ulilofanya tena ni kufanya maamuzi haraka na bila kumpatia nafasi ya kujirekebisha.
 
Babu yangu .......................... mapenzi si kula maharage ... kuna vitu vingi pengine ndo vinamfanya amkumbuke wa kwanza.

Halafu Babu............. Afadhali kipindi kile ulitenguka kiuno sasa hivi nadhani kuna tatizo kwenye ubongo!! lol
 
ndugu yangu wewe upo ki-peke yako.....wengine huwa risasi ikitoka hairudi bundukini....inaelekea ulie nae hajakukolea....polepole utazoea

maneno matamu hayo, mwiko kurudi nyuma!
 
I reserve my comments kwa muda huu kwani bado nakunywa chai
 
wansema to love is only once, kwamba ni mmoja tu utakaye mpenda kwa dhati na wengine ni mazoea na uzushi tu. na true love ni kusamehe kuforget, yaani no matter anakutendea mabaya utampenda tu.
 

ulikua na mapenzi ya dhati kwa mtu huyo, ulimwanacha angali unampenda! itakuchukua muda kumsahau na hii yataka juhudi zako mwenyewe kumfuta akilini
 



nimekupata rose sio kwamba huyu hajui anaweza na anajali sana tu na najitahidi kweli hata kupiga simu na msg kama hatuko wote lakini bado tu huyu tuliyeachana anakuja kwenye kichwa changu nachanganyikiwa sana sitaki kumuumiza huyu maana usiyotaka ufanyiwe usimfanyie mwezako halafu nahisi kama sipendi tena wakati mwingine nipo tu
 

sorry chauro, hebu tufahamishe kwanza wewe ni HE/SHE?kisha tuambie ni nini hasa ambacho unakikumbuka kwake?Labda naweza kuchangia baada ya kupata hayo majibu!
 
km ni vo basi shughuli ni fup sana
mwte zungumza nae
ustake kupata mateso wakati suluhisho lipo
tok to him/her usijidanganye uliye nae sasa haumpend.period.
rud kwa yule kwa amani na furaha ..km kukosa kila mtu anakosa
mpe chansi msamehe mliendeleze mlpoishia......
 
ndugu yangu wewe upo ki-peke yako.....wengine huwa risasi ikitoka hairudi bundukini....inaelekea ulie nae hajakukolea....polepole utazoea

mbona umekaa kijeshi hivi lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…