Swali

oscarmwnk

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Hivi rais inawezekana kumpigia kura mahali popote? Mana nlijiandikisha huko njombe na sasa npo singida kikaz
 
Ni sahihi kisheria kwa chama hasimu kutumia kauli mbiu ya chama kingine kwenye campaign za uchaguzi endapo hiyo kauli ya hicho chama kingine imetumika kwa mda mrefu na imezoeleka na wanachama wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…