Nimejiuliza leo, ni nani na NAMNA gani wahusika wanachagua sehemu ya kufanyia Swala ya EID?
Nakumbuka Kinana aliwahi kusema Mgombea uraisi wao atarudi Dar kwa ajili ya mapumziko na kushiriki Eid, lakini nimeona Eid kufanyika Tanga.
Nashawishika kuona kuwa imepangwa huko ili mgombea Urais yw CCM ambaye alikuwa Tanga kwa kampeni aweze kutumia nafasi hiyo kutoa ushawishi wa kisiasa hasa kwa Waislam wenzake.
Kwa tafsiri yangu huu ni Mchezo mchafu! na Ndugu Waislam wa Tanga TUSIDANGANYIKE!
...

hata Lindi ingekuwa safi tuwewe ulitaka ifanyike wapi..?!!
Swala ya Eid kitaifa hufanyika kwa kuzunguka na mara nyingi huangalia upatikanaji wa viongozi wakuu wa kitaifa ili ushiriki wao uweze kuipa swala hii macho ya walio wengi. Na ukweli ni kwamba Kikwete pamoja ya kwamba ni mgombea wa urais BADO pia ni rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa bahati mbaya kwenye mikusanyiko kama hii inayolazimu wanene wa nchi wawepo, kumwalika ndugu Kikwete ni kufuata itifaki.
Itasikitisha kuona kama waalikwa na waumini watakubali kutumia na kutumika katika Eid kuendesha siasa na hii itakuwa ni kukiuka makubaliano ya maadili ya uchaguzi ambayo vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi walitia saini.
Kingine pia Tanga siku zote ni ngome imara ya CCM na hili kila mmoja analijua na sasa haingii akilini CCM kutumia sala ya Eid kujinadi Tanga, ikiwa watafanya hivyo.
Jamani tusikimbilie kulalamika lalamika au kuhisi mchezo mbaya kila wakati hii huonesha kutokujiamini kwetu.
Nimejiuliza leo, ni nani na NAMNA gani wahusika wanachagua sehemu ya kufanyia Swala ya EID?
Nakumbuka Kinana aliwahi kusema Mgombea uraisi wao atarudi Dar kwa ajili ya mapumziko na kushiriki Eid, lakini nimeona Eid kufanyika Tanga.
Nashawishika kuona kuwa imepangwa huko ili mgombea Urais yw CCM ambaye alikuwa Tanga kwa kampeni aweze kutumia nafasi hiyo kutoa ushawishi wa kisiasa hasa kwa Waislam wenzake.
Kwa tafsiri yangu huu ni Mchezo mchafu! na Ndugu Waislam wa Tanga TUSIDANGANYIKE!
hata Lindi ingekuwa safi tu
.
Nani asiyefahamu kwamba BAKWATA ni kitengo cha propaganda cha ccm toka enzi na enzi? Bakwata itawaburuza waislamu wa Tz hata mwisho wa siku kama ccm itaendelea kuwa madarakani. Ni njia pekee ya waislamu huru kujinasua na Bakwata ni kuiondoa ccm madarakani.
Wasipofanya hivyo wasitarajie hata siku moja kuwa na maamuzi huru.
Kama ndivyo kwa nini Bakwata ndio hutangaza siku na mahala pa sala ya Idd Kitaifa. Hawa Bakwata ni nani na nani kawapa mamlaka ya kufanya hivyo kwa waumini wote wa Tanzania!Hivi unafahamu ya kwamba Bakwata hakuna uanachama, na pia si lazima wa kila mwislamu kufuata kile ambacho Bakwata wanafanya au shauri? Bado sijajua wala ona uhusiano kati ya Bakwata na uhuru wa waislamu Tanzania kama unavyoainisha katika ujumbe wako hapo juu. Migogango baina ya baraza hili na waumini wa Kiislamu inaeleweka na kwa uelewa wangu haijawa ya kisiasa kama vile ilivyo migongano yoyote ile ambayo hutokea baina na watu na makundi mbalimbali.
Hivi majuzi hapa tulipokuwa tunajadili sakata la TUCTA na serikali, lilikuja tishio la kura za wafanyakazi na kuna bwana mmoja alifafanua wazi ya kuwa "Tanzania hakuna kura za makundi", na hivi ndivyo naamini pia hata kwa Waislamu ndio jinsi ilivyo.
Kura ya mtanzania inapigwa kwa kuangalia ni nani atatetea vyema maslahi ya mpiga kura huyo na si nani atatetea maslahi ya vikundi mbalimbali. Leo hii Tanzania sidhani kama Bakwata wana uwezo wa kushinikiza waislamu wakipigie kura chama chochote kile kwa sababu yeyote ile.
Tukirudi katika mada, hili swala la Eid kuswaliwa kitaifa Tanga, Lindi, Mara, Kigoma, Dar au kwingineko kokote kule ni vyema lisichukuliwe kisiasa. Hii ni sikukuu ya kidini na ni vyema watu wakaachiwa wapumzike na sio kuletewa kero za siasa.
Apige kampeni Msikitini au Makanisani mwaka huu...kazi anayo, kuna wengine nimeona wanatumia mpaka miariko ya mahafari kulazimisha kugeuza kampeni...kawa ahadi nini?Nimejiuliza leo, ni nani na NAMNA gani wahusika wanachagua sehemu ya kufanyia Swala ya EID?
Nakumbuka Kinana aliwahi kusema Mgombea uraisi wao atarudi Dar kwa ajili ya mapumziko na kushiriki Eid, lakini nimeona Eid kufanyika Tanga.
Nashawishika kuona kuwa imepangwa huko ili mgombea Urais yw CCM ambaye alikuwa Tanga kwa kampeni aweze kutumia nafasi hiyo kutoa ushawishi wa kisiasa hasa kwa Waislam wenzake.
Kwa tafsiri yangu huu ni Mchezo mchafu! na Ndugu Waislam wa Tanga TUSIDANGANYIKE!
kwani kufanyika TANGA kuna makosa gani.. si ni mkoa pia wenye waislam wengi
wabongo tunalalamikia kila kitu, du
malalamishi mengine hayana msingi jamani
JK ni Raisi aliyepo madarakani hivyo angealikwa hata kama ingekuwa wapi, labda yeye kama angeweza kumtuma mtu.
sala hapa kuwa kufanyika tanga ni makosa, hapana ni sikuku ya idd kugeuzwa kuwa kampeni za kisiasa za ccm,
ebo kumbe una mtazamo finyu namna hiyo? kufanyika tanga sikukuu imemfuata kikwete hilo halina halina ubishi