Swapped!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...Jamani kwanza poleni na mfungo. Kuna documentary naangalia hapa, nikaona bora ni share nanyi;


...inasikitisha sana.

2yrs old child jamani!... ushamjengea msingi wa maisha, anawaita Daddy na Mummy...
mbaya zaidi fikiria familia mbili husika ziwe zimepishana kiuwezo.
Hii imetokea SA, na Czech.

Utakubali ku re swap watoto wenu?



Incidences kama hizi zinajitokeza mara ngapi kwenye hospitali zetu Tz? Huwezi jua, maybe 'you were swapped' at birth bana!
 
mmh basi muda ukifika ntazalia nyumbani period.
kuavoid swaga km izi
 
du inawezekana kabisa, maana mimi na "wazazi wangu" naona tuko tofauti sana. itabidi nifiatilie kujua undani na ukweli, sijuim kama ntafanikiwa.
 
Hivi inawezekana eh.....ngoja nikachek pic ya mzee v/s ya kwangu....baada ya hapo pia ya mama.
 
Mkuu Mbu,
Hii inaweza kutokea sana hasa ktk hospitali zetu hizi ambazo wanawake wanajazana hadi pa kulala hakuna na wauguzi au manesi wachache!
Kama ingekuwa mimi kwa mtoto wa 2 yrs ningemrudisha wa kwao nimchukue wa kwangu. Ni mdogo sana kwa hiyo atasahau alikotoka. Ila I cant imagn kama mmoja ndio alikua anakaa Masaki mwingine Tandale, itakuwaje pale ambapo wa Masaki atenda Tandale.....
Watoto ni rahisi ku-adjust, kuliko kama tayari angekua 6 or 10 years
 
ooooh!!! poor that mamy n kid, ila ni bora wamejua mapema kuliko dogo angeendelea kukua nafikiri ingekuwa tabu zaidi. sasa hivi labda wafanye utaratibu wamtafute mtoto wao wa ukweli wamrudishe huyo kwa wazazi wake. ila wauguzi nao!!!!!!! lol!!!:eyeroll2:
 
Mh kazi kweli kweli, haya yawezekana ni kweli kabisa yanatokea katika hospitali zetu.mh!
 

...Mmeona eeh?
haya sasa jikumbusheni habari hii ya kitaifa.
Haya mambo bana mimi ndio maana hayaninyimi sana usingizi kuyafanyia maamuzi.

 
hehehe usishangae pengine father wako ilikuwa awe rejinadi mengi au baharesa lakini umebambikiwa ogustino lyatonga mrema au kingwendu. dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…