Swaumu ni neno la mojamoja lililo toholewa toka katika kiarabu, sio kwakuwa hakuna neno la kiswahili la mbadala ila kama ziada ya kukazia tukio kwa uasili wake; Kiswahili cha kawaida kingeuita "kufunga". Kama ambavo theologia ya waingereza haikuita 'closing' ikaita 'fasting' hivyo hivyo uislaam unapendelea kuita Swaumu ili kutia uzito stahiki watendo lenyewe.