Sweden imesitisha rasmi kutoa misaada ya maendeleo kwa Uganda

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Serikali ya Sweden imesitisha rasmi kutoa misaada ya maendeleo kwa Uganda. Sweden ilikuwa inatoa mamilioni ya dollar kuisaidia Uganda.

Misaada imefutwa kufuatia Uganda kupitisha sheria kali kwa mashoga. Kuna nchi nyingine pia za ulaya zimesema zitafuta misaada kwa Uganda .

Je Uganda itaweza kujimudu bila misaada kama Museveni anavyosema hawaitaji misaada?

Sweden said Wednesday it would stop development aid payments to Uganda "because of the anti-gay legislation" passed in late February.

"The government reaffirms its strong condemnation of the Ugandan legislation that violates the fundamental rights of homosexuals, bisexuals and transgender people," Minister for International Development Cooperation Hillevi Engstroem said.

"Swedish aid is not unconditional. That's why the government has decided to withhold state-to-state payments," she added without specifying the amount involved.

Other European nations, namely Denmark, Norway and the Netherlands, announced on the very same day that they would freeze their aid to the Ugandan state or redirect it towards private sector initiatives, aid agencies and rights organisations.

Sweden said it would also maintain subsidies to civil society organisations.

"We want to support homosexuals, bisexuals and transgender people in Uganda through Swedish aid via other channels," Engstroem said.

Sweden's subsidies to Uganda in 2012 amounted to 26.5 million euros ($34.1 million), 42 percent of which were intended to promote democracy, human rights and gender equality.

SOURCE:.nation.co.ke/business
 
Vyote uwa kuna misaada na mikopo. Ni kama wik iliyopita bank ya dunia ilisitisha mkopo kwa Uganda

Wangesitisha kwa sababu pesa wanazotoa hazitoi matunda tarajiwa kwenye afya, elimu , viwanda na vitu kama hivyo ingekuwa sawa!!!!!
Hata wao hawakuendelea kwa kugeuzana ila waliwekeza sasa kukomalia vitu visivyo na tija inaonesha nia zao si njema!!!!!!
 
Sweden mashoga sana hawa...waje tuwaoe basi kama wanaona raha
 
watarudi tu....M7 alishasema ataambatana na Russia. Akili zao chafu, wafunge na ubalozi wao Uganda. WaSwede huwa wanafiki, aliyepiga kelele ya kuangalia uwezekano wa kutoisaidia Ug ni Marekani. Yeye kasia kelele kasitisha wakati america hajasitisha.
 
Katika hili la kupinga mapenzi ya jinsia moja niungane na Ndugu Museveni, let them stop, hii wanayoiita misaada ni mrejesho tu wa mali walizotuibia wakati wakitutawala!
 
Sweden said Wednesday it would stop development aid payments to Uganda "because of the anti-gay legislation" passed in late February.

"The government reaffirms its strong condemnation of the Ugandan legislation that violates the fundamental rights of homosexuals, bisexuals and transgender people," Minister for International Development Cooperation Hillevi Engstroem said.

"Swedish aid is not unconditional. That's why the government has decided to withhold state-to-state payments," she added without specifying the amount involved.

Other European nations, namely Denmark, Norway and the Netherlands, announced on the very same day that they would freeze their aid to the Ugandan state or redirect it towards private sector initiatives, aid agencies and rights organisations.

Sweden said it would also maintain subsidies to civil society organisations.

"We want to support homosexuals, bisexuals and transgender people in Uganda through Swedish aid via other channels," Engstroem said.

Sweden's subsidies to Uganda in 2012 amounted to 26.5 million euros ($34.1 million), 42 percent of which were intended to promote democracy, human rights and gender equality.

SOURCE:.nation.co.ke/business
 
Ukifata ukweli kuumia lazima ila simama katika ukweli maisha yako yote utafanikiwa
 
Sweden ni nchi yenye mashoga wengi sana na wa rika lote hata mabibi na mababu.

Tusibabaishwe na peremende (pipi) za mashetani.
 
Faida ya kukatiwa misaada ni kubwa sana. Waganda tangu enzi za iddi amini dada walijijenga kwa kushikilia njia zote za uchumi kwa wazalendo kushiriki ki-kamilifu. Vimisaada vyenyewe ni vi-token, hivyo ni Muhimu na Raisi kikwete amuunge mkono ili nasi tuzuiliwe misaada, tujijenge wenyewe na tuwe na mapenzi Na Mungu wetu. Katika kumpenda Mungu tusifanye unafiki tutafanikiwa tu.
 
Ebu fikiria, yanataka tusupport kufirana?. Hawa watu wa sodoma na gomora.

VITABU VITAKATIFU VINAPINGA USHOGA

YAANI MASENGE HAYA YANATULAZIMISHA SISI TUMCHUKIZE NA KUMLIZA MUNGU ALIYE MKUU ACHUKIE KAMA ENZI YA SODOMA NA GOMORA?
 
Tatizo waafrika hatujitambui hizi nchi zote zinatutegemea sisi kuliko sisi tunavyowategemea wao ndio maana walipiga kelele sana walipoona China ameanza kuwa na ushirikiano wa kiuchumi na nchi za kiafrika ingawa wote lengo lao ni moja kupora rasilimali za afrika.kama Afrika tungeungana kwa hili wangeona aibu na kutuomba msamaha lakini kipindi tuna viongozi wa ajabu kama rais wetu ambaye hajui kuwa amechaguliwa na wakina nani na anatakiwa afuate mambo ya wakina nani.Nchi hizo zinazotoa misaada zinajua kabisa zikienda kinyume na matakwa ya waliowachagua nini kinatokea lakini kwa ujinga wa viongozi wetu wamekuwa wakitulazimisha kufata mambo ambayo ni kinyume cha tamaduni zetu tunahitaji rais mwelewa na ambaye ana msimamo sio tu wa kukataa tabia za kishenzi bali pia kulinda rasilimali zetu bahati mbaya wabunge wa katiba wanabishania posho bila kuliona hili
 
Wabunge wa katiba ni jina tu lakini, sio kweli kuwa ni wabunge wa katiba. Wanacheza mchezo wa isidingo
 
Back
Top Bottom