Sweden inasifiwa sana

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Sweden Ni nchi ambayo inasifiwa sana Kama nchi gharama za maisha ziko chini sana ukilinganisha na nchi zingine zilizoendelea.

Wadau mnaoishi huko hata kujua ukweli kuhusu hili suala.
 
ndio maana wadada/ wamama zetu wamelowea huko??
 
Ni kweli hali ya maisha siyo ghali kivile ukilinganisha nam nch zingine za Nordic.

Mpakani mwa Sweden karibu na Trondheim Norway watu wanavuka kuingia Sweden kufanya shopping ya nguvu na kurud Norway kwa sabab bidhaa Sweden ni nafuu kuliko Norway.
 
Du sawa mkuu
 
Kuna unafuu ndio ila pia kuna vitu ambavyo Sweden ni ghali sana kuliko nchi zingine za Nordic.
 
Ni kweli hali ya maisha siyo ghali kivile ukilinganisha nam nch zingine za Nordic.

Mpakani mwa Sweden karibu na Trondheim Norway watu wanavuka kuingia Sweden kufanya shopping ya nguvu na kurud Norway kwa sabab bidhaa Sweden ni nafuu kuliko Norway.
Kinachowasaidia Norway ni pesa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…