SWEDEN: vipande vya nyama ya nguruwe vimewekwa ndani ya quran kadhaa huko katika chuo cha Linnaeus

Sweden, Holland, France, UK na Canada wanajuta sana kuwapokea kobaz .
 
Kwani shida iko wapi? Mbona Waislamu wanakula nyama nguruwe kama kawaida?? Siyo Tanzania tu hadi huko kwenye Uislamu kwenyewe ila ukiwa mgeni huwezi kujuwa
Na mimi sioni kama kutakuwa na tatizo lolote kama waislamu watailipua swedeni.
 
Kutokuwa muislamu au mkristo na kutokuamini kabisa mambo ya imani,dini,mungu kumenifanya niishi kwa AMANI NA UPENDO USIOMITHILIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…