britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Unasema CCM ipi, hii ndani ya Mfuko wa Suruali wa Magufuli?CCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
SIDA na Forumsyd niliwafanyia kazi sana Sweden JokkmokkTafadhali wasikate tuu ruzuku kwenye shirika ninalofanya kazi. SIDA wananiweka Sana mjini.
Bado kasinziaKwani mzee wa tashwishwi anasemaje kuhusu hili?
Kwani mzee wa tashwishwi anasemaje kuhusu hili?