Sweden yapunguza misaada kwa Tanzania kuwa 75% kwa miaka mitano ijayo

Balozi wa Tanzania nchi Marekani naye vipi?
 
Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tufurahie tuu ndugu , ndiyo maisha tuliyojichagulia.
Furahi Sana. Tena furahini.
Sisi huku iyombakuzobha haituhusu.
Tunalima tunakula mazao yetu wenyewe,
Tukiugua tunakunywa mizizi. Yatosha.
Hayo ya huko yenu nyie wa mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unataka kumharibia Dr Slaa kazi mkuu.....
 
Balozi wa Tanzania nchi Marekani naye vipi?
Naye bure kabisa yule Masilingi. Hana maana alitaka kupigana na Lisu studio badala ya kusubiri apigane na Pompeo. Naye arudishwe Bukoba akalime ndizi.

Pompeo anamzuia mwanamfalme kwenda kuvinjari States yeye hadi sasa hivi yupo yupo tu hana msaada kwa nchi
 
britanicca, Mimi siandiki barua. Muda huo sina.

Na sign checks.

Nilishaona yanayotokea leo yatatokea, tangu miaka ishirini iliyopita, nikasepa na kuwaachia mtanange.

Nishachukua gamba la watu, hata likizo sirudi Bongo, nakula samaki na kushushia kwa Mimosa na mabilionea wa ukweli visiwa vya Turks and Caicos.

Hapa JF naandika kutoa muongozo na kusimulia historia tu kwa vijana na wazee waliosahau tulipotoka maduka ya kaya, ambako kwa mwendo huu tunaweza kurudi kirahisi sana, mpaka kukimbiza magari ya ugawaji na vidaftari vya kuandikiwa vipimo vya sukari, mchele na unga wa muhogo kwa wiki, kama utawahi kupata katika foleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha watu mnajua kuvunja mbavu za wengine!
 
Dr. Yuko huko anakula tu fungate yake... Hana uwezo wala uthubutu wa kubadili hata nukta wa kile kilichokwisha kuandikwa
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…