britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
FINI na SWEDWakubwa hawatupani,soon tutapata breaking news ya muafaka na watu watajoin NATO kiulaini tu
Mlisema hawawezi thubutu kujiunga,wamefanya kweli,ni swala la muda tu NATO inaenda kuongeza members 2FINI na SWED
Hutawaona NATO
Tena kwa huko ANKARA labda ERDO asiwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asizuie watu kujiunga ugomvi wake na PKK hauwahusu Fin wala Swed, Bwana Tayep awe mtulivu.FINI na SWED
Hutawaona NATO
Tena kwa huko ANKARA labda ERDO asiwepo
Sent using Jamii Forums mobile app